Yametimia, Yanga imemtangaza kocha raia wa Ujerumani Sead Ramovic kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi aliyetupiwa virago. Wakati maswali mengi yakiibuka juu ya hatma ya kifungo cha aliyekuwa kocha wa ...
Mtoto mchanga mwenye umri wa siku moja amekutwa amefukiwa kwenye shimo huku kichwa kikiwa nje katika eneo la Manzese, Wilaya ...
Watu watano wamefariki dunia na wengine 42 wamejeruhiwa baada ya jengo la ghorofa nne kuporomoka katika makutano ya Mtaa wa ...
Kuporomoka jengo la ghorofa katika mtaa wa Congo na Mchikichi, eneo la Kariakoo leo Novemba 16, 2024 kumeamsha kumbukumbu za ...
Chama cha ACT-Wazalendo, kimedai kuwa utekelezaji wa kupitia rufaa za wagombea walioenguliwa, haujafanywa kwa ufanisi licha ...
Marehemu Said Maduka ameacha watoto wanane kwa wake wawili, hivyo rambirambi iliyotolewa imegawanywa kwa wanawake zake wawili ...
Ukosefu wa njia umedaiwa kuwa kikwazo kwa wakulima wa mwani na uvuvi katika shehia ya Buyu, Mkoa wa Mjini Magharibi hivyo ...
Serikali imekaribisha sekta binafsi na mashirika ya kimataifa, kushiriana katika ulinzi wa taarifa ili kukabiliana na ...
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zitaanza Novemba 20-26 na uchaguzi wenyewe utakuwa ni Novemba 27, 2024. Waziri ...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amezifariji familia zilizopoteza vijana wao katika vifo vyenye utata, ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa mtu mmoja pekee amefariki dunia, huku wengine 28 wakijeruhiwa katika ajali ya ...
Katika uamuzi wake uliotolewa na jopo la majaji watatu, Rehema Mkuye (kiongozi wa jopo), Abrahamu Mwampashi na Paul Ngwembe, ...