MAMIA ya wakazi wa mitaa mbalimbali ndani na nje ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamejitokeza kuuzika mwili wa mtoto Josiah ...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria,, Ezekiah Wenje amekihama chama hicho na kuhamia Chama cha Mapinduzi( CCM).