SAFARI ya Simba kulisaka taji la tano la Mapinduzi, imeanza vizuri baada ya kiungo wa timu hiyo, Mohamed Bajaber kufunga bao pekee katika ushindi wa 1-0.
Simba SC inakaribia kucheza moja ya mechi zake kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane ya ...
KOCHA Msaidizi wa Fufuni, Sueliman Abbas na Sheha Khamis Rashid wa Muembe Makumbi City, kila mmoja kwa waakati wake ameitaja ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...