Matokeo yaliyotangazwa leo yanaonyesha kuwa kwa ujumla asilimia 87.79% ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefaulu ambapo ni sawa na ongezeko la ufaulu la asilimia 0.49% ukilinganisha na asilimia ...
(Dar es Salaam, 14, Februari 2017) – Zaidi ya asilimia 40 ya vijana wa Tanzania hawapati elimu bora ya awamu ya kwanza ya sekondari (kidato cha kwanza hadi cha nne), mbali na uamuzi chanya wa serikali ...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imelazimika kufuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012 baada ya Tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda kubaini uwepo wa mapungufu na ...
Shirika lisilo la kiserikali la haki elimu nchini Tanzania limesema kuwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne sio ya kujivunia kutokana na zaidi ya nusu ya watahiniwa kupata ufaulu wa daraja la nne na ...
Zaidi ya asilimia 60 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha cha nne nchini Tanzania wamepata sifuri. Kwa mujibu wa serikali ya Tanzania idadi hiyo sawa na Watahiniwa 240,903 ya wanafunzi wote.
Chanzo cha picha, Anthony Asael/Art in All of Us Mamlaka za mitihani nchini Tanzania zinataka hatua mahususi zichukuliwe katika ufundishaji wa somo la Hisabati na masomo mengine yanayohusisha hesabu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results